sw_tn/jos/16/08.md

20 lines
602 B
Markdown

# Tapua...Kana
Haya ni majina ya sehemu
# Huu ulikuwa ni urithi wa kabila la Efraimu
Nchi ambayo kabila la Efraimu waliimiliki inasemwa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao waliupokea kama mali ya kudumu
# Walipewa kwa koo zao
Maelezo haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "ambayo Yoshua aliwagawia kwa koo zao"
# miji yao iliyochaguliwa
Maelezo haya yaweza kuelezwa kwa kauli tendaji. Miji ambayo Yoshua alikuwa ameichagua."
# iyokuwa ndani ya urithi wa kabila la Manase
Nchi ambayo kabila la Manase waliimiliki inasemwa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao waliupokea kama mali ya kudumu