sw_tn/jos/16/05.md

8 lines
297 B
Markdown

# Eneo la kabila la Efraimu ambalo lilikuwa limegawanya kwa koo zao
Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Eneo ...ambalo Yoshua aliwagawia kwa kufuata koo zao."
# Atarothi Addari...Bethi Horoni ya juu...Mikimethathi...Taanathi Shilo...Yanoa...Naara
Haya ni majina ya sehemu/mahali