|
# Jua lisimame katika Gibeoni, na mwezi, usimame katika bonde la Aijalon
|
|
|
|
Yoshua anaomba kwamba Yahweh angefanya mwendelezo wa muda ukome katika siku hii.
|
|
|
|
# jua...mwezi
|
|
|
|
Yoshua analiagiza jua na mwezi kana kwamba walikuwa ni watu.
|
|
|
|
# Bonde la Aijaloni
|
|
|
|
Hili ni jina la mahali
|