sw_tn/jos/09/14.md

8 lines
426 B
Markdown

# Yoshua akafanya amani pamoja nao na kufanya agano pamoja nao ili waishi. Viongozi wa watu nao pia wakawaapia
Sentensi hizi mbili zinaongelea juu ya jambo lile lile lililotokea. Yoshua, kiongozi wa taifa aliahidi kutowaua Wagibeoni. Viongozi wa taifa la Israeli, hivyo hivyo walifanya agano. "Yoshua na viongozi wa Israeli walifanya agano la damu na watu wa Gibeoni."
# watu
Neno hili hapa linawarejelea watu wa Israeli.