sw_tn/jos/07/13.md

12 lines
289 B
Markdown

# Sentensi kiunganishi
Yahweh anaendelea kuongea na Yoshua na kumwambia kitu cha kuwaambia watu
# Watu
Inarejelea watu wa Israeli
# Hamtaweza kusimama mbele ya maadui zenu
Kusimama mbele za maadui zao kuna maana ya kupigana kwa mafanikio dhidi yao. "Hamtaweza kuwashinda maadui zenu"