forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
318 B
Markdown
8 lines
318 B
Markdown
# Maelezo ya jumla
|
|
|
|
Yoshua anawaambia watu kumi na wawili kitu cha kufanya
|
|
|
|
# katikati ya Yordani. Kila mmoja wenu achukue jiwe moja mabegani
|
|
|
|
Kila mtu kati ya watu kumi na wawili walitakiwa kuchukua mawe makubwa kutoka sehemu ya chini ya Mto Yordani na kuyabeba mpaka sehemu nyingine ili kujenga jengo la ukumbusho.
|