# Maelezo ya jumla Yoshua anawaambia watu kumi na wawili kitu cha kufanya # katikati ya Yordani. Kila mmoja wenu achukue jiwe moja mabegani Kila mtu kati ya watu kumi na wawili walitakiwa kuchukua mawe makubwa kutoka sehemu ya chini ya Mto Yordani na kuyabeba mpaka sehemu nyingine ili kujenga jengo la ukumbusho.