sw_tn/jos/03/07.md

16 lines
320 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh anamwambia Yoshua kile ambacho kuhani alipaswa kufanya
# nitakufanya kuwa mtu mkubwa
Yahweh atamheshimu Yoshua mbele ya watu wote wa Israeli.
# macho ya Waisraeli
Inawarejelea Waisraeli wote watakaoona tukio hili
# ukingo wa maji ya Yordani,
Yoshua ataukaribia ukingo wa Mto wa Yordani