sw_tn/jos/03/05.md

12 lines
367 B
Markdown

# Jitakaseni ninyi wenyewe
Maneno haya yanarejelea maandalizi maalumu ya kuwa safi kidini au kiroho mbele za Mungu.
# Yahweh atafanya maajabu
Yahweh atakuwa akifanya miujiza kwa ajili ya watu wote kuona na kushuhudia
# Chukueni sanduku la agano
Haya yanawarejelea walawi ambao hulichukua Sanduku la Agano kwa kusudi la kulibeba kutoka sehemu moja hadi nyingine.