# Jitakaseni ninyi wenyewe Maneno haya yanarejelea maandalizi maalumu ya kuwa safi kidini au kiroho mbele za Mungu. # Yahweh atafanya maajabu Yahweh atakuwa akifanya miujiza kwa ajili ya watu wote kuona na kushuhudia # Chukueni sanduku la agano Haya yanawarejelea walawi ambao hulichukua Sanduku la Agano kwa kusudi la kulibeba kutoka sehemu moja hadi nyingine.