sw_tn/jon/03/04.md

857 B

baada ya safari ya siku akapaza sauti

Inawezekana maana ni 1) "baada ya Yona kutembea safari ya siku alipaza sauti" au 2) "wakati Yona alipokuwa akitembea siku ya kwanza, alipaza sauti."

baada ya safari ya siku

"baada ya kutembea kwa siku." Safari ya siku ni umbali ambao watu huenda kusafiri kwa siku moja. AT "baada ya Yona kutembea kwa siku moja"

alipaza sauti na kusema

"alihubiri" au "alipaza sauti"

siku arobaini

siku 40" (Angalia: tafasili ya namba)

Wote hwakavaa nguo za magunia

Kwa nini watu kuvaa magunia wanaweza kuelezwa wazi zaidi. AT 'Pia huvaa kitambaa kikubwa ili kuonyesha kwamba walikuwa na huruma kwa kuwa wamefanya dhambi' (UDB) (Angalia tini_izo wazi)

kutoka aliyemkubwa hata mdogo.

"kutoka kwa walio wa muhimu zaidi hata wasio na umuhimu" au "ikiwa ni pamoja na watu wote muhimu na watu wote wasiomuhimu" (UDB)