forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
857 B
Markdown
24 lines
857 B
Markdown
|
# baada ya safari ya siku akapaza sauti
|
||
|
|
||
|
Inawezekana maana ni 1) "baada ya Yona kutembea safari ya siku alipaza sauti" au 2) "wakati Yona alipokuwa akitembea siku ya kwanza, alipaza sauti."
|
||
|
|
||
|
# baada ya safari ya siku
|
||
|
|
||
|
"baada ya kutembea kwa siku." Safari ya siku ni umbali ambao watu huenda kusafiri kwa siku moja. AT "baada ya Yona kutembea kwa siku moja"
|
||
|
|
||
|
# alipaza sauti na kusema
|
||
|
|
||
|
"alihubiri" au "alipaza sauti"
|
||
|
|
||
|
# siku arobaini
|
||
|
|
||
|
siku 40" (Angalia: tafasili ya namba)
|
||
|
|
||
|
# Wote hwakavaa nguo za magunia
|
||
|
|
||
|
Kwa nini watu kuvaa magunia wanaweza kuelezwa wazi zaidi. AT 'Pia huvaa kitambaa kikubwa ili kuonyesha kwamba walikuwa na huruma kwa kuwa wamefanya dhambi' (UDB) (Angalia tini_izo wazi)
|
||
|
|
||
|
# kutoka aliyemkubwa hata mdogo.
|
||
|
|
||
|
"kutoka kwa walio wa muhimu zaidi hata wasio na umuhimu" au "ikiwa ni pamoja na watu wote muhimu na watu wote wasiomuhimu" (UDB)
|