forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
944 B
Markdown
32 lines
944 B
Markdown
# Taarifa za jumla
|
|
|
|
Huu ni muendelezo wa sala ya Yona iliyoanzia 2:1
|
|
|
|
# Maji
|
|
|
|
"Maji" yanarejea kwenye bahari
|
|
|
|
# shingo yangu
|
|
|
|
Matoleo mengine huelewa neno la Kiebrania katika neno hili kwa maana ya "maisha yangu." Katika tafsiri hiyo, maji yalikuwa karibu kumchukua maisha ya Yona.
|
|
|
|
# kina kilinizunguka
|
|
|
|
"maji ya kina yalikuwa yakinizunguka"
|
|
|
|
# mwani
|
|
|
|
"nyasi zinazopandwa baharini"
|
|
|
|
# nchi na baa zake zimefungwa juu yangu milele
|
|
|
|
Yona alitumia mfano wa kulinganisha dunia na gerezani. Kwenye "dunia ilikuwa kama gerezani ambayo ilikuwa karibu kunifunga kwa milele" (Angalia tini_mapira)
|
|
|
|
# Lakini wewe umeinua uhai wangu shimoni
|
|
|
|
Yona anazungumzia mahali pa wafu kama kama shimo. AT "Lakini umeokoa maisha yangu kutoka mahali pa wafu" au "Lakini umeniokoa kutoka mahali ambako watu wafu' "(Angalia tini_mapira)
|
|
|
|
# Bwana, Mungu wangu!
|
|
|
|
Katika lugha zingine, inaweza kuwa ya asili zaidi kuweka hii mwanzo wa sentensi au karibu na neno "wewe."
|