sw_tn/jon/02/05.md

944 B

Taarifa za jumla

Huu ni muendelezo wa sala ya Yona iliyoanzia 2:1

Maji

"Maji" yanarejea kwenye bahari

shingo yangu

Matoleo mengine huelewa neno la Kiebrania katika neno hili kwa maana ya "maisha yangu." Katika tafsiri hiyo, maji yalikuwa karibu kumchukua maisha ya Yona.

kina kilinizunguka

"maji ya kina yalikuwa yakinizunguka"

mwani

"nyasi zinazopandwa baharini"

nchi na baa zake zimefungwa juu yangu milele

Yona alitumia mfano wa kulinganisha dunia na gerezani. Kwenye "dunia ilikuwa kama gerezani ambayo ilikuwa karibu kunifunga kwa milele" (Angalia tini_mapira)

Lakini wewe umeinua uhai wangu shimoni

Yona anazungumzia mahali pa wafu kama kama shimo. AT "Lakini umeokoa maisha yangu kutoka mahali pa wafu" au "Lakini umeniokoa kutoka mahali ambako watu wafu' "(Angalia tini_mapira)

Bwana, Mungu wangu!

Katika lugha zingine, inaweza kuwa ya asili zaidi kuweka hii mwanzo wa sentensi au karibu na neno "wewe."