sw_tn/jon/01/08.md

24 lines
777 B
Markdown

# Kisha wakamwambia Yona
"Kisha wale watu waliokuwa wakifanya kazi katika meli wakamwambia Yona"
# Tafadhali tuambie ni nani ndiye sababu ya mabaya haya yanayotupata
"Ni nani aliyesababisha jambo hili baya ambalo linatupata?"
# kumhofia Bwana
Neno "hofu" linamaanisha Yona anamheshimu sana Mungu.
# Ni nini hiki ambaco umekifanya?
Watu katika meli walitumia swali hili la kuvutia ili kuonyesha jinsi walipokuwa wakiwa na uchungu na Yona. AT "Umefanya jambo baya."
# alikuwa akikimbia mbele za uwepo wa Bwana
Yona alikuwa akimkimbia Bwana. Yona alikuwa akitaka kumkimbia Bwana kama Bwana alikuwapo tu katika nchi ya Israeli.
# kwa sababu alikuwa amewaambia
Nini aliwaambia inaweza kuelezwa wazi. AT "kwa sababu alikuwa amewaambia "ninajaribu kuondoka mbali na Bwana"