sw_tn/jon/01/08.md

777 B

Kisha wakamwambia Yona

"Kisha wale watu waliokuwa wakifanya kazi katika meli wakamwambia Yona"

Tafadhali tuambie ni nani ndiye sababu ya mabaya haya yanayotupata

"Ni nani aliyesababisha jambo hili baya ambalo linatupata?"

kumhofia Bwana

Neno "hofu" linamaanisha Yona anamheshimu sana Mungu.

Ni nini hiki ambaco umekifanya?

Watu katika meli walitumia swali hili la kuvutia ili kuonyesha jinsi walipokuwa wakiwa na uchungu na Yona. AT "Umefanya jambo baya."

alikuwa akikimbia mbele za uwepo wa Bwana

Yona alikuwa akimkimbia Bwana. Yona alikuwa akitaka kumkimbia Bwana kama Bwana alikuwapo tu katika nchi ya Israeli.

kwa sababu alikuwa amewaambia

Nini aliwaambia inaweza kuelezwa wazi. AT "kwa sababu alikuwa amewaambia "ninajaribu kuondoka mbali na Bwana"