sw_tn/jon/01/01.md

1.4 KiB

neno la Bwana lilikuja

Hii ni idiamu ambayo inamaanisha Yahweh alisema. "Yahweh alizungumza ujumbe wake" (Angalia: tini_idiamu)

neno la Bwana

Hapa "neno" linawakilisha ujumbe wa Bwana. AT "ujumbe wa Bwana"

Bwana

Hili ni jina la Mungu ambalo aliwafunulia watu wake katika Agano la Kale. Tazama tafsiri ya ukurasa kuhusu Bwana jinsi ya kutafsiri hii.

Amittai

Hili ni jina la baba yake Yona. (Angalia tafsiri za majina)

Simama na uende Minawi, mji mkuu

"Nenda kwenye mji muhimu wa Minawi"

Amka na uende

Haya ni maelezo ya kawaida ya kusafiri kwa maeneo ya mbali.

piga kelele dhidi yake

"kuwaonya watu" (UDB). Mungu anawakilisha watu wa mji huo.

uovu wao umeinuka mbele yangu

"Najua wanaendelea kutenda dhambi"

akaondoka kukimbia kutoka mbele ya Bwana

"alikimbia kutoka kwa Bwana." "ameamka" inaelezea Yona aliondoka ambako alikuwa.

na akaenda Taeshishi

"na akaenda Tarshishi." Tarshishi ilikuwa kinyume cha Minawi. Hii inaweza kufanywa wazi. AT "na wakaenda kinyume chake, kuelekea Tarshishi"

Akatelemka mpaka Yafa

"Yona akaenda Yafa"

Meli

"Meli" ni aina kubwa sana ya mashua ambayo inaweza kusafiri baharini na kubeba abiria wengi au mizigo mizito.

Kwa hiyo akalipa nauli

Yona akalipia safari

na akapanda Meli

"na akaingia kwenye Meli"

pamoja nao

Neno "yao" linamaanisha wengine ambao walikuwa wakisafiri kwenye meli.

mbali na uwepo wa Bwana

Yona alitumaini kwamba Bwana hakuwapo Tarshishi