sw_tn/jon/01/01.md

64 lines
1.4 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# neno la Bwana lilikuja
Hii ni idiamu ambayo inamaanisha Yahweh alisema. "Yahweh alizungumza ujumbe wake" (Angalia: tini_idiamu)
# neno la Bwana
Hapa "neno" linawakilisha ujumbe wa Bwana. AT "ujumbe wa Bwana"
# Bwana
Hili ni jina la Mungu ambalo aliwafunulia watu wake katika Agano la Kale. Tazama tafsiri ya ukurasa kuhusu Bwana jinsi ya kutafsiri hii.
# Amittai
Hili ni jina la baba yake Yona. (Angalia tafsiri za majina)
# Simama na uende Minawi, mji mkuu
"Nenda kwenye mji muhimu wa Minawi"
# Amka na uende
Haya ni maelezo ya kawaida ya kusafiri kwa maeneo ya mbali.
# piga kelele dhidi yake
"kuwaonya watu" (UDB). Mungu anawakilisha watu wa mji huo.
# uovu wao umeinuka mbele yangu
"Najua wanaendelea kutenda dhambi"
# akaondoka kukimbia kutoka mbele ya Bwana
"alikimbia kutoka kwa Bwana." "ameamka" inaelezea Yona aliondoka ambako alikuwa.
# na akaenda Taeshishi
"na akaenda Tarshishi." Tarshishi ilikuwa kinyume cha Minawi. Hii inaweza kufanywa wazi. AT "na wakaenda kinyume chake, kuelekea Tarshishi"
# Akatelemka mpaka Yafa
"Yona akaenda Yafa"
# Meli
"Meli" ni aina kubwa sana ya mashua ambayo inaweza kusafiri baharini na kubeba abiria wengi au mizigo mizito.
# Kwa hiyo akalipa nauli
Yona akalipia safari
# na akapanda Meli
"na akaingia kwenye Meli"
# pamoja nao
Neno "yao" linamaanisha wengine ambao walikuwa wakisafiri kwenye meli.
# mbali na uwepo wa Bwana
Yona alitumaini kwamba Bwana hakuwapo Tarshishi