sw_tn/jol/03/14.md

223 B

mshtuko, mshtuko

Mshtuko ni kelele unasababishwa na umati mkubwa. Hii inarudiwa kuonyesha kuwa itakuwa kelele sana kutoka kwa watu wote.

bonde la hukumu

Maneno haya yanarudiwa kuonyesha kwamba hukumu hakika kutokea.