sw_tn/jol/03/14.md

8 lines
223 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mshtuko, mshtuko
Mshtuko ni kelele unasababishwa na umati mkubwa. Hii inarudiwa kuonyesha kuwa itakuwa kelele sana kutoka kwa watu wote.
# bonde la hukumu
Maneno haya yanarudiwa kuonyesha kwamba hukumu hakika kutokea.