sw_tn/jol/03/11.md

228 B

jikusanyeni pamoja

"kusanyikeni pamoja kwa vita."

Bwana, washushe mashujaa wako.

Katikati ya ujumbe huu kwa maadui wa Israeli, hukumu hii inaelezwa kwa Yahweh. Labda hii ilikuwa kufanya maadui wao hofu ya jeshi la Bwana.