# jikusanyeni pamoja "kusanyikeni pamoja kwa vita." # Bwana, washushe mashujaa wako. Katikati ya ujumbe huu kwa maadui wa Israeli, hukumu hii inaelezwa kwa Yahweh. Labda hii ilikuwa kufanya maadui wao hofu ya jeshi la Bwana.