sw_tn/jol/03/09.md

495 B

Jitayarisheni wenyewe kwa ajili ya vita ..... waamsheni mashujaa

Maneno haya yote yanasema kujiandaa askari kwa vita.

waamsheni mashujaa

"fanyeni watu wenye nguvu"

Yafueni majembe yenu kuwa panga na visu vyenu vya kuchongea kuwa mikuki

Maneno haya mawili yanashiriki maana sawa. Wote wawili anawafundisha watu kurejea zana zao za kilimo katika silaha.

majembe

zana ambazo hutumiwa kuvunja udongo ili kupanda mimea

Visu vya kuchongea

visu ambavyo hutumiwa kukata matawi madogo