sw_tn/jol/03/09.md

20 lines
495 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Jitayarisheni wenyewe kwa ajili ya vita ..... waamsheni mashujaa
Maneno haya yote yanasema kujiandaa askari kwa vita.
# waamsheni mashujaa
"fanyeni watu wenye nguvu"
# Yafueni majembe yenu kuwa panga na visu vyenu vya kuchongea kuwa mikuki
Maneno haya mawili yanashiriki maana sawa. Wote wawili anawafundisha watu kurejea zana zao za kilimo katika silaha.
# majembe
zana ambazo hutumiwa kuvunja udongo ili kupanda mimea
# Visu vya kuchongea
visu ambavyo hutumiwa kukata matawi madogo