# Taarifa za jumla
Bwana anaendelea kuahidi mambo mema kwa ajili ya watu wa Israeli.
# nitamimina Roho yangu
"Nitawapa kwa ukarimu njia ambayo mtu humimina maji"
# miili yote
"watu wote"