sw_tn/jol/02/28.md

192 B

Taarifa za jumla

Bwana anaendelea kuahidi mambo mema kwa ajili ya watu wa Israeli.

nitamimina Roho yangu

"Nitawapa kwa ukarimu njia ambayo mtu humimina maji"

miili yote

"watu wote"