sw_tn/jol/01/13.md

16 lines
508 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Mungu anaongea na makuhani katika Israeli
# Panda magunia na omboleza, enyi makuhani! Mwalia, enyi watumishi wa madhabahu. Njoo, ulala usiku wote kwenye magunia, enyi watumishi wa Mungu wangu
Mungu anawaambia makuhani kujinyenyekeza wenyewe na kulia kwa huzuni. AT 'Wote makuhani huomboleza na kuomboleza na kujinyenyekeza kwa kutumia usiku wote katika magunia"
# sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji
sadaka ya kawaida katika hekalu
# nyumbani mwa Mungu wenu
hekalu huko Yerusalemu