sw_tn/jol/01/13.md

508 B

Taarifa za jumla

Mungu anaongea na makuhani katika Israeli

Panda magunia na omboleza, enyi makuhani! Mwalia, enyi watumishi wa madhabahu. Njoo, ulala usiku wote kwenye magunia, enyi watumishi wa Mungu wangu

Mungu anawaambia makuhani kujinyenyekeza wenyewe na kulia kwa huzuni. AT 'Wote makuhani huomboleza na kuomboleza na kujinyenyekeza kwa kutumia usiku wote katika magunia"

sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji

sadaka ya kawaida katika hekalu

nyumbani mwa Mungu wenu

hekalu huko Yerusalemu