sw_tn/jol/01/11.md

242 B

Taarifa za jumla

Mungu anaendelea kuongea na watu wa Israeli.

shayiri

aina ya nyasi, kama ngano, ambayo mbegu zake zinaweza kutumiwa kufanya mkate

waliotauka

kukauka na kufa

tini .... komamanga .... epo

aina tofauti za matunda