# Taarifa za jumla Mungu anaendelea kuongea na watu wa Israeli. # shayiri aina ya nyasi, kama ngano, ambayo mbegu zake zinaweza kutumiwa kufanya mkate # waliotauka kukauka na kufa # tini .... komamanga .... epo aina tofauti za matunda