sw_tn/jol/01/05.md

28 lines
929 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Mungu anawaonya watu wa Israeli kuhusu jeshi la nzige linaloja.
# enyi walevi, lieni! Omboleza, ninyi nyote mnywao divai
Ikiwa lugha yako ina neno moja tu la 'kulia' na 'kusubiri,' unaweza kuunganisha mistari 'ninyi wanaopenda divai wanapaswa kulia kwa huzuni'
# taifa
kundi nzige ni kama jeshi la kuvamia.
# Meno yake ... ana meno ... Amefanya ... Ameondoa
Nzige ni kama taifa ambalo ni kama mtu mmoja. Unaweza kutaja taifa kama 'hilo,' au kwa nzige kama 'wao,' au kwa wavamizi kama mtu mmoja (ULB).
# Meno yake ni meno ya simba, neye ana meno ya simba.
Mstari miwili ina maana sawa. Marejeleo ya meno ya nzige kuwa mkali kama meno ya simba hutia nguvu uharibifu ambao huwaangamiza kabisa mazao yote ya ardhi.
# Nchi ya Bwana......shamba la mizabibu....mtini wangu
Nchi ya Bwana, shamba la mizabibu, na mtini
# kutisha
Wale ambao wanaona ardhi hushangaa au kutisha kwa sababu imeharibiwa kabisa.