sw_tn/job/42/15.md

8 lines
352 B
Markdown

# hawakupatikana wanawake wazuri kama mabinti wa Ayubu.
"Mabinti za Ayubu walikuwa wazuri zaida kuliko wanawake wengine" au "mabinti za Ayubu walikuwa ni wazuri sana"
# akiwa mzee na akijawa na siku nyingi.
Maneno "kujawa na siku" kimsingi yanamaanisha kitu kile kile ya kuwa 'mzee" Virai hivi viwili vinatengeneza nahau moja "kuwa mtu mzee sana"