# hawakupatikana wanawake wazuri kama mabinti wa Ayubu. "Mabinti za Ayubu walikuwa wazuri zaida kuliko wanawake wengine" au "mabinti za Ayubu walikuwa ni wazuri sana" # akiwa mzee na akijawa na siku nyingi. Maneno "kujawa na siku" kimsingi yanamaanisha kitu kile kile ya kuwa 'mzee" Virai hivi viwili vinatengeneza nahau moja "kuwa mtu mzee sana"