sw_tn/job/42/07.md

24 lines
467 B
Markdown

# Ilitokea baada ya kuwa
Kirai hiki kimetumika hapa kuonesha tukio kubwa katika habari hii. Kama lugha yako ina jinsi ya kuweza kusema hili unaweza kutumia.
# Elifazi Mtemani
angalia ulivyofasiri hii katika 2:1
# mafahari saba
mahafari 7
# Bildadi Mshuhi
Angalia jinsi ulivyofasiri hii katika 2:11
# Zofari Mnaamathi
Angalia jinsi ulivyofasiri hii katika 2:11
# Mungu alimtakabali Ayubu
"Mungu anaipokea sala ya Ayubu kwa ajili ya marafiki zake watatu"