# Ilitokea baada ya kuwa Kirai hiki kimetumika hapa kuonesha tukio kubwa katika habari hii. Kama lugha yako ina jinsi ya kuweza kusema hili unaweza kutumia. # Elifazi Mtemani angalia ulivyofasiri hii katika 2:1 # mafahari saba mahafari 7 # Bildadi Mshuhi Angalia jinsi ulivyofasiri hii katika 2:11 # Zofari Mnaamathi Angalia jinsi ulivyofasiri hii katika 2:11 # Mungu alimtakabali Ayubu "Mungu anaipokea sala ya Ayubu kwa ajili ya marafiki zake watatu"