sw_tn/job/39/29.md

16 lines
276 B
Markdown

# hutafuta mawindo
Kiambishi 'hu' kinarejelea tai
# macho yake huyaona
huwaona wao
# pale walipo wafu
"sehemu palipo na watu wafu'' Kirai hichi kinarejelea maiti zilizolala katika sehemu wazi, si miili iliyozikwa ardhini.
# ndipo na yeye alipo.
"yuko pale kuwala wao"