sw_tn/job/39/26.md

16 lines
380 B
Markdown

# Je ni kwa hekima ... kwa upande wa kusini?
Jibu lililofika la swali hili ni "hapana". Si kwa hekima yetu..."
# Je ni kwa hekima yako kwamba mwewe hupaa
"si wewe unayemfunza mwewe kuruka"
# huyanyosha mabawa yake
hupaa
# kwa upande wa kusini
Katika jiografia ya kibiblia, ndegu hupaa na kuelekea upande wa kusini katika kipindi cha masika ili kuishi katika hali ya joto.