# Je ni kwa hekima ... kwa upande wa kusini? Jibu lililofika la swali hili ni "hapana". Si kwa hekima yetu..." # Je ni kwa hekima yako kwamba mwewe hupaa "si wewe unayemfunza mwewe kuruka" # huyanyosha mabawa yake hupaa # kwa upande wa kusini Katika jiografia ya kibiblia, ndegu hupaa na kuelekea upande wa kusini katika kipindi cha masika ili kuishi katika hali ya joto.