sw_tn/job/39/24.md

32 lines
874 B
Markdown

# huimeza
Kiambishi 'hu' kinarejelea farasi
# huimeza nchi
Farasi hukimbia kwa kasi juu ya ardhi na ya kwamba nchi hupita kama mtu anakunywa maji.
# hasira na ghadhabu
"kwa miondoko mikubwa na ya haraka" Farasi anaposisimuka huondoka kwa haraka na kwa nguvu. Na kwasababu hii, farasi hukimbia kwa haraka.
# katika sauti ya tarumbeta,
"wakati mtu fulani anapopuliza tarumbeta ili kutangaza kwamba vita imeanza."
# hawezi kusimama sehemu moja
"mara kwa mara huwahi kwenye vita"
# husema Ooo!
Watu hutoa Sauti Ooo! wakati wanapokuwa wamefurahia kitu fulani. Farasi huwa na furaha kwasababu huifurahia vita.
# vishindo vya radi
Hii ina maana kwamba farasi huvisikia vitu hivi. "husikia sauti ya radi"
# kelele
"Vita hupiga kelele" Watu huwa na kilio maalumu ambacho hukitumia kuonesha kuwa wao ni watu gani na nguvu zao kuu na ujasiri na kuwaogopesha maadui.