sw_tn/job/39/09.md

36 lines
712 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu
# je nyati...bonde kwa ajili yako?
Yahweh anatumia maswali haya ili kutia mkazo kwamba Ayubu hawezi kuwatawala nyati.
# Nyati
Maana zinazowezekana ni 1) "ng'ombe wa porini" 2)"swala" aina fulani ya swala anayeonekana kama ng'ombe dume.
# kuwa na furaha
"kuridhia"
# atakubali kukaa katika zizi lako
"kukaa karibu na zizi wakati wote wa usiku"
# hori/zizi
Katika mazingira ya Israeli, hiki kilikuwa ni chombo cha kulishia wanyama
# mtaro
Ni mfereji mrefu uliotengenezwa katika sehemu chafu kwa kutumia plau.
# kuchimba
"kulima kwa plau"
# kwa ajili yako
"nyuma yako" wakati wa kulima kwa plau, mtu huongoza ng'ombe akiwa nyuma yake.