sw_tn/job/39/05.md

24 lines
589 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu
# nani.....nchi ya chumvi
Yahweh anatumia maswali haya ili kutia mkazo kwamba yeye huwalinda punda pori na ya kwamba Ayubu hawezi kufanya hivyo.
# Punda mwtu.... punda wepesi
Haya ni majina tofauti ya aina ile ile ya punda
# vifungo
kamba, minyororo ambayo hufunga mnyama na kumzuia asikimbie.
# ni nyumba ya nani
Yahweh anaiongolea punda kana kwamba alikuwa ni mtu ambaye ana nyumba. "Nilimpta Araba kama nyumba ya kuishi"
# nchi ya chumvi
nchi inayoizunguka Bahari ya Chumvi ambayo ina chumvi nyingi ndani yake.