# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu # nani.....nchi ya chumvi Yahweh anatumia maswali haya ili kutia mkazo kwamba yeye huwalinda punda pori na ya kwamba Ayubu hawezi kufanya hivyo. # Punda mwtu.... punda wepesi Haya ni majina tofauti ya aina ile ile ya punda # vifungo kamba, minyororo ambayo hufunga mnyama na kumzuia asikimbie. # ni nyumba ya nani Yahweh anaiongolea punda kana kwamba alikuwa ni mtu ambaye ana nyumba. "Nilimpta Araba kama nyumba ya kuishi" # nchi ya chumvi nchi inayoizunguka Bahari ya Chumvi ambayo ina chumvi nyingi ndani yake.