sw_tn/job/39/03.md

24 lines
451 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu
# Wanainama chini
Kiambishi 'wa'inarejelea mbuzi na paa
# kuzaa watoto wao
"kuwafanya watoto wao watoke ndani yao"
# kisha maumivu yao ya uzazi yanaisha
Maneno "maumivu ya uzazi' yanarejelea uzao wa mbuzi na paa kwasababu ni matokeo ya kazi na maumivu ya mama zao.
# uwanda wa wazi
"nchi ya mashamba" au "porini"
# hawarudi tena
"hawatarudi tena kwao" au " kurudi kwa mama zao"