# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu # Wanainama chini Kiambishi 'wa'inarejelea mbuzi na paa # kuzaa watoto wao "kuwafanya watoto wao watoke ndani yao" # kisha maumivu yao ya uzazi yanaisha Maneno "maumivu ya uzazi' yanarejelea uzao wa mbuzi na paa kwasababu ni matokeo ya kazi na maumivu ya mama zao. # uwanda wa wazi "nchi ya mashamba" au "porini" # hawarudi tena "hawatarudi tena kwao" au " kurudi kwa mama zao"