sw_tn/job/38/34.md

24 lines
565 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu
# Je waweza kupaza....sisi tupo hapa
Yahweh anatumia maswali haya kukazi kwamba Ayubu hawezi kutawala mawingu, mvua au mwanga wa radi.
# ili kwamba maji mengi ya mvua yakufunike
"ili kwlamba maji mengi sana yatakufunika"
# Je waweza kuagiza miali ya mwanga ili itokee
"waweza kuamuru miali ya radi kutokea mahali unapotaka itokee na kwa kweli itatokea'
# kukwambia
"na watakwambia"
# Sisi tupo hapa
Kirai hiki kina maana, "sisi tupo hapa ili kwamba wewe utuambia kila unachotaka sisi tufanye"