# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu # Je waweza kupaza....sisi tupo hapa Yahweh anatumia maswali haya kukazi kwamba Ayubu hawezi kutawala mawingu, mvua au mwanga wa radi. # ili kwamba maji mengi ya mvua yakufunike "ili kwlamba maji mengi sana yatakufunika" # Je waweza kuagiza miali ya mwanga ili itokee "waweza kuamuru miali ya radi kutokea mahali unapotaka itokee na kwa kweli itatokea' # kukwambia "na watakwambia" # Sisi tupo hapa Kirai hiki kina maana, "sisi tupo hapa ili kwamba wewe utuambia kila unachotaka sisi tufanye"