sw_tn/job/38/22.md

12 lines
323 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu
# ume....juu ya dunia?
Yahweh anatumea maswali haya kukazia kwamba Ayubu hajui jinsi ambavyo Yahweh hutuma barafu, mawe ya mvua, radi na upepo wa mashariki juu ya nchi.
# mawe ya mvua
vipande vya mviringo vya barafu ambavyo huanguka ardhini kutoka angani.