# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu # ume....juu ya dunia? Yahweh anatumea maswali haya kukazia kwamba Ayubu hajui jinsi ambavyo Yahweh hutuma barafu, mawe ya mvua, radi na upepo wa mashariki juu ya nchi. # mawe ya mvua vipande vya mviringo vya barafu ambavyo huanguka ardhini kutoka angani.