sw_tn/job/38/16.md

28 lines
629 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh aendelea kumtia changamoto Ayubu.
# Je ume...upana wake?
Yahweh anatumia maswali haya ili kutia mkazo kwamba vitu hivi ambavyo Ayubu hajavifanya na ya kwamba kuna vitu vingi sana ambavyo Ayubu havijui.
# vyanzo
"chemichemi"
# kilindi
"maji"j au "bahari" au "vilindi vya maji"
# Je malango ya mauti yamefunuliwa kwako?
"Je kuna mtu amekuonesha malango ya kuzimu"
# e umeifahamu dunia katika upana wake?
"Je umekiangalia kila kitu kkwa umakini katika njia zake kwa sehemu za mbali sana za dunia"
# kama unayajua yote hayo
"kama umezoea dunia yote" au "kama unajua kila kitu kuhusu dunia"