# Maelezo ya jumla Yahweh aendelea kumtia changamoto Ayubu. # Je ume...upana wake? Yahweh anatumia maswali haya ili kutia mkazo kwamba vitu hivi ambavyo Ayubu hajavifanya na ya kwamba kuna vitu vingi sana ambavyo Ayubu havijui. # vyanzo "chemichemi" # kilindi "maji"j au "bahari" au "vilindi vya maji" # Je malango ya mauti yamefunuliwa kwako? "Je kuna mtu amekuonesha malango ya kuzimu" # e umeifahamu dunia katika upana wake? "Je umekiangalia kila kitu kkwa umakini katika njia zake kwa sehemu za mbali sana za dunia" # kama unayajua yote hayo "kama umezoea dunia yote" au "kama unajua kila kitu kuhusu dunia"